Eng. Hersi kila sehemu lazima asafiri na timu? Kila game lazima awepo uwanjani?

Hata babra akitaka nae si aende tu tena amchukue na mo kabisha shida iko wapi hapo?
Barbra sio rais au mwenyekiti.
Nje ya mada: Hivi Yanga nao wana CEO? Kama yupo anaitwa nani?
 
Mbona ni kawaida tu, tena poa kabisa. Yanga ni timu ya mpira, rais wake kuwepo uwanjani Yanga ikicheza ndio inavyotakiwa.
Kwa hili alipaswa apongezwe.
Sio uwanjani tu, hata kambini haachii mtu wala kamati 😆
 
Sasa atakaa ofisini afanye nini na haoni cha kufanya ofisini. Acha afuatane na timu. Hadi zoezi niliona clip anafanya nao..labda ndo siri ya mafanikio pia
 
Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Uyo ni raisi wa club. Watu wana work from home wewe unadhani mpaka mtu akae ofisini ndo unajua anafanyakazi
 
Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Amekuomba lini mchango wa nauli kumlipia kwenye izo safari? Maana naona unampangia namna ya kuendesha maisha yake na timu yake
 
Sasa we kinakuuma nini?
Hata babra akitaka nae si aende tu tena amchukue na mo kabisha shida iko wapi hapo?
We unadhani inawezekana kumpa Ali Kamwe bahasha aifikishe kwa wahusika? Kwenye pesa haaminiwi mtu hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…