ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi
Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na mafanikio kimataifa,
Amefanya biashara ya mpira na kiuwezesha timu ya Yanga kuwa Moja ya timu kubwa Africa na kutwaa ubingwa wa Tanzania mara thelathini na Kuna dalili ya kuendelea kuwa bingwa
Inasemakana mamlaka za juu zilimuita na kumhitaji katika siasa na kumuahidi akiwa mbunge Moja Kwa Moja atakuwa waziri wa wizara nyeti kama waziri wa fedha au utalii au waziri wa madini
Kila kitu kipo wazi huku ikionekana wazi kuwa mbunge wa Sasa wa Kinondoni Abbas Talimba hana Nia ya kugombea na yeye ndo ataenda kuwa Rais wa Yanga
Eng Hersi anamalizia muhula wake wa uongozi ndani ya Yanga na atamwacha Abas Tarimba ambaye agombee kuwa Rais wa Yanga na Nina Imani atapita na Rais wa Yanga atakuwa Abbas Tarimba ambaye aliwahi kushika wadhifa huo ndani ya Yanga
Tunamwombea kura za ndiyo Eng Hersi Said za ubunge wa Kinondoni kutoka Kwa wana Kinondoni
Kila la heri Eng Hersi Said katika safari yako ya siasa