Anajua ila anajizima data tuEndelea kumdanganya..
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA....UKIMTOA MUNGU KWA KATIBA HII TULIYO NAYO ANAFUATIA RAIS WA NCHI.....
Ndio haujawa wewe sasa. Kamuulize Mbowe na ubishi wake mbona alikubali kufutiwa kesiNingekuwa mimi nisingetaka mbeleko maana wanaotafuta mlango tofauti na mamlaka husika basi huyo hana haki na ni tapeli hivyo madai yake ya kimkataba ni batili.
Mfano wewe upewe kesi ya kubaka au Wizi na ushahidi unao kuwa wewe si mhusika sasa utakubali vipi ionekane umesamehewa kimagumashi kea shinikizo na sio kisheria hapo hamuoni dosari ?
Sawa muda utaongea ndio utajua kati ya En. na Fei nani yuko smart zaidi ya mwenzakeimeisha kwa wajinga sio kwa mtu smart km injinia...
Sana yaaniWameshikwa pabaya
Tena akijidai anataka kuchukua siku nyingi kuonesha ugumu inaweza kuja kum cost.Hawana cha Sheria. Wa TZD ni wabishi wabishi sana.
Maagizo ya Rais ni wao wakae kwenye meza na wa sort out ASAP.
Hizo sheria za mikataba na blah blah nyingine wabaki nazo wao.
Hersi bado ni mchanga sana kwenye governance ya nchi hii, Hana impact yoyote ; anaweza kupandishwa na kushushwa kwa kadiri inavyotakikana.
Ajifunze kutofautisha kati ya hisia na sheria na maagizo ya mamlaka.
He is not a robot ...... kwamba sheria inasema hivi au vile : he has to use his mind properly on how to balance and handle things.
Or else , Machaguo ni yake.
Wao ni wao ila mimi ni mwamba aiwwzi kukubali nipate msamaha au maslahi wakati sijasafishwa bado kutokana na tuhuma.Ndio haujawa wewe sasa. Kamuulize Mbowe na ubishi wake mbona alikubali kufutiwa kesi
Christian Ronaldo wa Manchester United alivyoona Kocha wake anamnyanyapaa alivunja mkataba kwa kuzingatia hivyo vipengele. Na akaondoka vizuri tu.Ko wachezaji wote hivi sasa kwenye mikataba yao wawe nakipengele hiko ili wakiona hawataki kuendelea na klabu zao basi wabadilishe TABIA au WAISALITI timu ili waachiwe huru kirahisi..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na akileta ujuaji atajikuta karudishwa Mogadishu mtaani kwao kabisa alipozaliwa baba yake mzazi[emoji3][emoji3].Ombi la Mama lazima litekelezwe na mrejesho anausubiri. Wapemba wanaupiga mwingii hadi unamwagikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyoo??Wewe ni shabiki wa Simba bila shaka!
🤣 BP zimewapanda na kushukaKwahiyoo??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo muelewe kwa nini FIFA inakataza serikali kuingilia mambo ya mpira wa miguu. Mlikata miuno kupewa ndege,mamilioni ya magoli na kualikwa kwenda kufakamia pilau la ikulu. There is no free dinner.
Nimeamua nitunze hii kumbukumbu kabla haujaieditHabari wanajamvi.
Leo amesikika Rais wa Tanzania Akimdadavulia Rais wa Yanga SC Bw Eng Hersi Said kwa lengo la
kumuhimiza ahakikishe Mchezaji Feisal Salum anapata haki yake.
Ninacho fahamu kuwa Mama Samia hana ufahamu sahihi wa kinacho endelea baina ya mgogoro uliopo kati ya Yanga SC na Mchezaji husika. Hisia zake kama Mzanzibar ndizo zimempelekea kusukumwa kutoa mapendekezo yake pasi na kuhitaji kulifahamu zaidi swala hilo.
Ndugu Hersi Said, unapaswa kucheza karata zako makini mno kwenye hilo. Kumbuka Mama Samia ametumia gharama kiduchu sana kwenye kampeni ya zawadi za kila goli, Dinner la Ikulu pampja na usafiri wa ndege. Kumbuka hajafanya haya si kwa mapenzi ya dhati na masuala ya michezo, bali alilenga zaidi kuilaghai taasisi ya michezo ili iache kusimamia misingi ya kisheria na kikanuni ya michezo.
Kwa kawaida, ni muhimu kwa Rais wa nchi kuzingatia majukumu yake kikatiba na kutofautisha majukumu ya mamlaka nyingine za kiserikali na taasisi mbalimbali. Mgogoro kati ya klabu na mchezaji ni suala la kisheria ambalo linapaswa kusuluhishwa na mamlaka husika za sheria na kanuni za michezo.
Rais Samia Anahitaji Elimu zaidi.
Kwa hiyo Rais wa nchi kuingilia kati ktk mgogoro kama huo unaweza kusababisha mchanganyiko wa majukumu na kuingilia uhuru wa mamlaka nyingine. Ni muhimu kwamba kila mamlaka ifanye kazi yake. Kitendo cha Rais kuwapa Incentives mbalimbali basi isiwe sababu ya kuhalalisha kuingiliana ki mamlaka katika mihimili inayo jitegemea kiutendaji.
Rais Samia anahitaji mrejesho, Basi ni wasaa sahihi kuhakikisha anaandikiwa mrejesho wa kumuelimisha kuwa masuala ya migogoro ya kisoka/kimpira yana namna yake ya kutatuliwa. Muelewesheni kuwa zipo sababu za msingi kwanini hili suala linakawia kufikiwa tamati.
Ni vyema akafahamu kuwa uvunjwaji wa taratibu na mchezaji yeyote wa klabu ni lazima kuadhibiwe pasi na kujali kama huyu ni mchezaji wa kizanzibar, wa bara au wa kimataifa. Na hukumu kwa mchezaji wa namna hiyo hautotokwa kwa upendelea wa kibusara eti kwa kisingizio kuwa mchezaji ni mzawa au la.
Mshaurini Rais kuwa licha ya kuyafurahia mafanikio haya madogo ya klabu, kuna watu nyuma ya pazia ambao wanawekeza pesa zao na wasingependa kuona wanapata hasara ktk biashara ya mauzo ya wachezaji. Tukiruhusu kuingilia maamuzi ya taasisi huru ambazo zina sheria zake za usuluhishi basi tunajiweka katika nafasi ya kuwafukuza wawekezaji aina ya wakina GSM na Mo Dewji katika mpira wa Tanzania.
Kuna madhara makubwa sana endapo klabu kama klabu itashindwa kusimamia misingi ya taratibu zake na kusuluhisha migogoro na kesi za kimpira kwa kutumia tu mapendekezo ya wana siasa. Je Mama Samia anatoa ushauri kama nani? Je ni kama mtu mwenye ufahamu wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa mpira? au Kama
Sasa unalalamika nini?Ni kweli aisee. Chama sasa hivi ameshuka kiwango. Feitoto atawasaidia sana!
Haaahaaa🤓🤓🤓🤓Anajua ila anajizima data tu
Hii comment yako imemaliza Kila kitu naweza SEMA ume cement everything....Hawana cha Sheria. Wa TZD ni wabishi wabishi sana.
Maagizo ya Rais ni wao wakae kwenye meza na wa sort out ASAP.
Hizo sheria za mikataba na blah blah nyingine wabaki nazo wao.
Hersi bado ni mchanga sana kwenye governance ya nchi hii, Hana impact yoyote ; anaweza kupandishwa na kushushwa kwa kadiri inavyotakikana.
Ajifunze kutofautisha kati ya hisia na sheria na maagizo ya mamlaka.
He is not a robot ...... kwamba sheria inasema hivi au vile : he has to use his mind properly on how to balance and handle things.
Or else , Machaguo ni yake.
Ndio maana waliitwa Wala mihogo, hiyo GSM ili biashara zake zishamiri lazima Aishi vizuri na Serikali na ili Yanga wakale pilau Ikulu na sio mihogo lazima GSM atekeleze matakwa ya mama.Shabiki kutoka Tandahimba mna shida Sana ..
Unamuagiza msomali ashindane na Rais??....
Mashabiki oya oya ndo muelimishwe ..
Mngegoma kupanda tuone, hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Kwani nani alimuomba atupatie ndege?
Kwani nani alimuomba incentives za magoli?
Hawezi kulaghai taasisi kwa dinner ya Milioni 200.
Maslahi yapi wewe huna hata mchango uliotoa Yanga.Huu ni wakati wa Eng Hersi Said kuonyesha kwanini alichaguliwa na WANANCHi kusimamia maslahi ya Klabu Kubwa.