Na ndio utakua mwanzo wa maandalizi yake kuja kwetu wananchi tukielekea kubeba taji la afrikaUgeni mkubwa katika Tukio kubwa.
Karibu Kocha mkubwa Pitso Mosimane ushuhudie ukubwa wa. Timu kubwa.
Kocha mkubwa atahudhuria tukio kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
View attachment 2306033View attachment 2306034View attachment 2306035
Hersi mjanja sana.Na ndio utakua mwanzo wa maandalizi yake kuja kwetu wananchi tukielekea kubeba taji la afrika
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app