Eng. Hersi Saidi, tafadhali sisi wananchi tunahitaji majibu ya haraka kwa hili

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Tunapozungumzia Timu yenye mashabiki kipenzi cha mioyo ya Watanzania yenye washabiki wengi Afrika Mashariki wapatao takribani Milioni 15 Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla, Timu Bingwa wa Kihistoria zamani Wakimataifa, Timu yenye Mafanikio makubwa zaidi ndani ya Tanzania, Timu ambayo ni Mali ya Wananchi, basi hapo tunaizungumzia Timu yetu pendwa Dar Young Africans Sports Club.

Hivyo Timu kubwa zaidi kwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki siku zote inaendeshwa kwa Ukweli na Uwazi ili sisi Wanachama mashuhuri pamoja na Wapoja na Wapenzi na Wapiga debe wa JF wafahamu kinachoendelea ndani ya Timu yetu.

Kwa leo Mimi mwanachama mashuhuri wa Yanga sihitaji Jengine Bali ni kumtaka Eng. Hersi Saidi atuambie mpaka kufikia leo Rufaa yetu dhidi ya BEN MORRISON imefikia wapi?

Utaratibu wa CAS wanapopokea Rufaa hutangaza Muda/tarehe ya kuisikiliza na kutoa hukumu! Lakini kwa hili la Morrison kwa mshangao mkubwa na hali isiyo ya kawaida Rufaa yake hata kwenye Dashboard ya CAS sehemu ya Appeals haionekani na hata ukisearch unajibiwa "No result found".

Je, hii inasadiki yaleyale maneno tuliyokuwa tunaambiwa na Watani zetu Simba kuwa "Uongozi umetudanganya sisi Wanachama na Washabiki wa Yanga kuwa Wamekata Rufaa ili kututuliza tusiwaone kuwa ni Wazembe kwenye sakata hili?"

Tafadhali Wananchi tupatiwe majibu juu ya muendelezo wa Rufaa yetu dhidi ya Morrison na kama hakuna Rufaa iliyokatwa pia tuambiwe kuwa hakuna Rufaa na sisi tutasamehe kwa maslahi ya Timu yetu pendwa ya Yanga.

DaimbaMbeleNyumaMwiko
 
Wewe sio mwananchi, wananchi wote wanajua nini kinachoendelea hasa baada ya kauli ya Mh. Jakaya Kikwete kwenye kilele cha wiki ya mwananchi. Pole sana kwa kuangaikia usiyoyajua
 
Morisom kashakuwa garasa hata huko Simba hapangwi, CARLINHO ndio mchezaji bora wa ligi kwa sasa
 
Wewe sio mwananchi, wananchi wote wanajua nini kinachoendelea hasa baada ya kauli ya Mh. Jakaya Kikwete kwenye kilele cha wiki ya mwananchi. Pole sana kwa kuangaikia usiyoyajua

Mkuu tuwache kuwa na False Hope
 
Suala la Morrison sisi Yanga tumeshakubali matokeo kwa sasa tunajifariji tu kuwa tutamchukua Clatous Chama kutoka kwa Mabingwa wa nchi Simba, japo tunajua wazi hatuna uwezo wa kumchukua.

Tuendelee tu kubaki na Mwiko wetu hapo nyuma.
 
Yanga bhana

Morrison hakuna kitu pale Ni uchafu tu hata Simba wamelamba garasa suburini muda utasema

Achaneni na yule mtu mbona mna wachezaji wazuri tu
 
Tunapozungumzia Timu yenye mashabiki kipenzi cha mioyo ya Watanzania yenye washabiki wengi Afrika Mashariki wapatao takribani Milioni 15 Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla, Timu Bingwa wa Kihistoria zamani Wakimataifa, Timu yenye Mafanikio makubwa zaidi ndani ya Tanzania, Timu ambayo ni Mali ya Wananchi, basi hapo tunaizungumzia Timu yetu pendwa Dar Young Africans Sports Club.

Hivyo Timu kubwa zaidi kwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki siku zote inaendeshwa kwa Ukweli na Uwazi ili sisi Wanachama mashuhuri pamoja na Wapoja na Wapenzi na Wapiga debe wa JF wafahamu kinachoendelea ndani ya Timu yetu.

Kwa leo Mimi mwanachama mashuhuri wa Yanga sihitaji Jengine Bali ni kumtaka Eng. Hersi Saidi atuambie mpaka kufikia leo Rufaa yetu dhidi ya BEN MORRISON imefikia wapi?

Utaratibu wa CAS wanapopokea Rufaa hutangaza Muda/tarehe ya kuisikiliza na kutoa hukumu! Lakini kwa hili la Morrison kwa mshangao mkubwa na hali isiyo ya kawaida Rufaa yake hata kwenye Dashboard ya CAS sehemu ya Appeals haionekani na hata ukisearch unajibiwa "No result found".

Je, hii inasadiki yaleyale maneno tuliyokuwa tunaambiwa na Watani zetu Simba kuwa "Uongozi umetudanganya sisi Wanachama na Washabiki wa Yanga kuwa Wamekata Rufaa ili kututuliza tusiwaone kuwa ni Wazembe kwenye sakata hili?"

Tafadhali Wananchi tupatiwe majibu juu ya muendelezo wa Rufaa yetu dhidi ya Morrison na kama hakuna Rufaa iliyokatwa pia tuambiwe kuwa hakuna Rufaa na sisi tutasamehe kwa maslahi ya Timu yetu pendwa ya Yanga.

DaimbaMbeleNyumaMwiko
Rufaa ya morrison unaweza kuisoma kwenye wavuti wa fifa
 
Suala la Morrison sisi Yanga tumeshakubali matokeo kwa sasa tunajifariji tu kuwa tutamchukua Clatous Chama kutoka kwa Mabingwa wa nchi Simba, japo tunajua wazi hatuna uwezo wa kumchukua.

Tuendelee tu kubaki na Mwiko wetu hapo nyuma.

Yanga mwenzangu unayoyaongea ni ya kweli?
 
Pumbavu sana mi nilidhani unataka kuhoji kuhusu timu kucheza mpira usioeleweka na ubora wa kocha,nikadhani unataka kuhoji kuhusu motisha ya bonasi kwa wachezaji kuwekwa ktk mfumo ambao kiuhalisia ni punguzo ktk wakat ambao wachezaji wa timu shindani simba wana morali sababu ya bonasi na mishahara mizuri,nikadhani ungezungumzia mfumo wetu wa usajili ambao bado unatufanya tubebe magalasa tusiyojua uwezo wao vizuri mpaka wakat tumeshawasajili,wewe umekuja kuhoji habari za morison kweli?wa nini sasa?yeye mwenyewe hatutaki ameshamove on na maisha yake ana furaha na haishi kutukebehi,mzee wetu kikwete ameshatuambia tuachane nae na kwa heshima yake ni vyema tukaachana nae tujikite ktk kuboresha timu yetu
 
Back
Top Bottom