Eng Hersi: Tunaenda Kuwa Klabu Ya Kwanza Kusajili Mchezaji Kutoka Uingereza.

kupoteza hela tu na fix kedekede. Jengeni uwanja boresheni ofisi za timu. Jali maslah ya wachezaji,tafuteni mbinu za kuepuka utegemezi kwa wafadhili
Duh! Sasa nini hiki umeandika Mkuu?

Sorry lakini
 
Waambieni pia kunaviwanja kama hawakucheza chandimu tutawaona mzigo.Wakumbushwe pia hii ni ligi kuu tz hivyo ni lazima washiriki kwenye vitendo vya ulozi hususani kwenye derby.La mwisho waambiwe kabla ya gsm yanga ilikuwa ikitembeza bakuli.
 
kwa hela ipi kwa mshahara upi. hizi Kudu .....
 
Christian Ronaldo huyoo to dimbwini
 
Uyu jamaa ametuona sijui mazuzu sisi mashabiki wa Yanga yani mchezaji aache ata kucheza championship aje Africa tena Yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Comments humu zimekaa kishabiki Tu lakini kumleta mchezaji aliyewahi kucheza EPL kama Bigirimana mbona rahisi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…