OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Tarehe 1/3/2024 jamaa alienda na viongozi wake wote wa yanga pale CAIRO makao makuu ya al ahly kujifunza mbinu na mikakati ya ushindi hatua ya mtoano pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimichezo. wengi jana mmeshangaa niwakumbushe tu kuwa style aliyotumia al ahly kumkanda simba juzi ndio style hiyo hiyo aliyotumia yanga jana kumpooza mamelod. niwaambie tu kuwa kaeni mguu sawa parade ndio limeanza rasmi jana tutegemee suprise mambo mazuri zaidi.