OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Yes imewaumiza sana kolomelodi.Naona hii sare imewaumiza zaidi mamelodi fake
AahaaaaNaona hii sare imewaumiza zaidi mamelodi fake
popoma bwana unajitekenya na kujichekesha mwenyewe mi id mingi ya nin afu apo apo unajifanya shabiki wa simba na yanga kwa wakati mmojaTarehe 1/3/2024 jamaa alienda na viongozi wake wote wa yanga pale CAIRO makao makuu ya al ahly kujifunza mbinu na mikakati ya ushindi hatua ya mtoano pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimichezo. wengi jana mmeshangaa niwakumbushe tu kuwa style aliyotumia al ahly kumkanda simba juzi ndio style hiyo hiyo aliyotumia yanga jana kumpooza mamelod. niwaambie tu kuwa kaeni mguu sawa parade ndio limeanza rasmi jana tutegemee suprise mambo mazuri zaidi.
Brother una akili kinoma kitambo sana nlishaona huu mwandiko huu ni wa monitor wa darasa la tatu Bpopoma bwana unajitekenya na kujichekesha mwenyewe mi id mingi ya nin afu apo apo unajifanya shabiki wa simba na yanga kwa wakati mmoja
wewe utakuwa mgeni hapa JF acha kunifananisha na watu wa hovyopopoma bwana unajitekenya na kujichekesha mwenyewe mi id mingi ya nin afu apo apo unajifanya shabiki wa simba na yanga kwa wakati mmoja