Eng Mhando voted best East African power Utility CEO

Mbona hiyo Tech ameikuta ilikuwa implemented na Dr Idrissa?na ilikuwa mwaka 2009 November ndipo walipofunga smart meter na Luku kuuzwa mtaani kwenye PoS
 
Sawa, naona kikubwa alichofanya ni kununua na kuinstall new/modern electrical gadgets bila shaka kutoka kwenye masoko ambayo na wenzetu wanayafahamu, now lets move deeper, hii imelisaidiaje shirika pamoja na wadau wake katika kupunguza gharama za uendeshaji in comparison kwa wenzetu ili tuweze kujua kama anastahili hiyo tuzo au hiki nacho ni kiini macho, isije kuwa ni moja ya matumizi ya ovyo/yasiyo na tija kwa watanzania na ambayo hidden agenda yake ni kutengeneza mianya ya rushwa za kimanunuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…