ukiwa na pesa basi chagua ya bei ya juu yaani ndio itaonyesha unamvalue
sio uwe na pesa then unaenda kununua the cheapest
Du!
Mimi nilioa zamani mno, kiasi kwa sasa duka hilo lishafungwa!
Uliza kijana anaitwa The Finest, huyu yuko kwenye hatua za mwisho za ndoa!
Aiseee Hommie nimeamini asemayo PJ....Nenda pale JM Mall Samora kuna duka mule ndani wanauza pete kuanzia laki mbili hadi milioni na kuendelea hela yako tu
Ntakeni radhi nyie vijana!...Msiudhalilishe umri wangu bana!...
Tangu lini visheti na Konyagi vikakubaliana!
Ntakeni radhi nyie vijana!...Msiudhalilishe umri wangu bana!...
Tangu lini visheti na Konyagi vikakubaliana!
The Finest, hilo Duka laitwaje? Na je wanafungua jmosi? Maana mi ofisi ipo mitaa ya Mwenge hivyo Posta ni mpaka Jumamosi na Jumapili tu. Shukrani sana mkuu kwa info na Wish you the best towards your wedding.