Kizuri siku zote hupondwa.Mfano,timu nzuri kama Man U hupondwa sana,wachezaji wakali kama Ronaldo hupondwa sana,japo wapo juu kuliko wengine.Man U humchukia Barca kwa sababu Barca alimpiga.UDSM hupondwa sababu iko juu kwenye list ya top Universities in Africa.WIVU HUO!