Engine 3s ina ubora gani?

troiker

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
1,551
Reaction score
2,573
Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s.

Je, hii engine inafaa kwa kiasi gani nimlipe pesa ya gari?
 
Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s,je hii engine inafaa kwa kiasi gani nmlipe pesa ya gari?
Kwanza weka picha ya hio vista tuione
 
Kama ni engine ya 3s twin Cam. inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta!
 
Kama ni engine ya 3s twin Cam....inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta!
ni twin cam yenye ribon nyekundu?all 3s ingine hazina fuel consuption nzuri,angalia customer reviers za watu mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…