sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Sep 4, 2022 #1 Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,, G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s 1G-E 1G-EU 1G-FE 1G-GEU 1G-GE 1G-GTE 1G-GP/GPE
Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,, G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s 1G-E 1G-EU 1G-FE 1G-GEU 1G-GE 1G-GTE 1G-GP/GPE
malimingiii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 967 Reaction score 1,335 Sep 4, 2022 #2 Haziingiliani maana kwa haraka haraka ninavyojua 1G ni 6 cylinder while 3s ni 4 cylinder