Engine conversion

Engine conversion

Uwezekano Upo ila hizo gharama ni aheri ukanunua gari mpya tu ya petrol!
Me ni technician, naweka mfumo wa gesi kwa gari za petroli, sasa naweza namna ya kuongeza kwenye magari ya diesel. Km unavyojua gari za petroli zinatumia spark plag, na gesi ni hivo hivo ambapo ni tofauti na diesel
 
Ahaa ungesema basi ni kuongezea mfumo wa gas. Mi nilifikiri ni kuing'oa engine nzima na kupachika ya petroli.
 
Inawezekana.

Ila bora kununua tu nyingine, mods huwa zinagharama sana.

Nyongeza
Kenya kuna kampuni zimeanza kufanya EV conversion. (Eletrical vehicles) kwa bongo hii nadhani bado.
 
EV Powerplants hatuna kabisa, hata ukiagiza gari ya EV ni bure tu. Labda uwe na uwezo wa kuagiza na mtambo wake.
Labda upate Hybrid ya half EV half ICE.
 
Me ni technician, naweka mfumo wa gesi kwa gari za petroli, sasa naweza namna ya kuongeza kwenye magari ya diesel. Km unavyojua gari za petroli zinatumia spark plag, na gesi ni hivo hivo ambapo ni tofauti na diesel
Iv kuweka mfumo wa ges kwa gari kama ist inaenda km ngp kwa kg 1 y gesi
 
Habar Wana jf , kuna uwezekano wa kubadilisha gari ya diesel kuwa ya petroli?

Inawezekana kufanya modification kama hiyo na gari ikakaa sawa. Lakini siku ukija kupata tatizo ambalo ni Pasua Kichwa, 90% kuna ywezekano gari yako isisome kwenye machine ya Diagnosis kwa sababu lazima tu watachezea upande wa Control box.
 
Back
Top Bottom