Engine misfiring

Mech engineer

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
354
Reaction score
472
Habari wakuu, Hivi unaweza kugundua engine inayo misfire kwa kusikiliza mlio wa gari? Specifically ambalo hujawahi kuliendesha
 
Ni gari aina gani??.hahahahaha lkn mkuu umeuliza swali ambalo nikikujibu utasema au nitaonekana mm mhuni unajua ukiuliza kihuni utajibiwa kihuni??..hivi nikikujibu NAMASIKIO nitakuwa nimekosea??.
Hujakosea lakini ungeongezea masikio yanasikia sauti gani ili yajue hii ni misfiring kwa gari yeyote 4 cylinder ama 6 cylinder
 
Hujakosea lakini ungeongezea masikio yanasikia sauti gani ili yajue hii ni misfiring kwa gari yeyote 4 cylinder ama 6 cylinder
Unachokitafuta mkuu kinawezekana kwa mtu fundi na anayeijua gari..lkn kwa mwingine ni ngum labda awe anaifaham gari husika au kaizoea ndio itakuwa rahisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…