Engine na gearbox za scania 124

Engine na gearbox za scania 124

Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Kazi kweli. Bei elekezi anakupa fundi. Mbona vitu rahisi tu mkuu? Kumbuka wewe ndio ulinunua gari.
 
Nenda Tabata Gereji,Dampo au Matumbi utapata Kwa Bei Nzuri.

Kama upo mkoani wacheki Amana wanauza Spare Used Za Scania, Namba Yao ya ofisi ya Tabata hii +255 773 074 740.
 
Back
Top Bottom