Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Wajumbe naomba ushauri, Kuna watu huwa wanashauri kuwa unapokarbia kumwaga/kubadili Engine Oil basi uweke Engine Oil Flush dkk chache (wkt Gari inawaka) kabla ya kubadili Engine Oil, inasemekana inasaidia kusafisha Engine vzr kila Kona. Lakini Kuna wanaosema hii kitu si nzuri itaua Engine, je ukweli ni you wadau?
Lakini pia Kuna ushauri kuhusu kuweka Fuel Cleaner Injector ktk tank la Mafuta kilaunapotaka kuweka/kujaza mafuta, je hii ni kwa mafuta yoyote au mtu akitumia mafuta mazuri Kama ya kwenye Total, PUMA, n.k inakua haina haja? Asante