Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Ngoja tusubiri. AsanteNgoja waje kukupa muongozo...
Kwa ninavyofanya mie kwenye gari zangu ikifika zaidi ya 100K+ miles hapo huweka oil flush mara hio moja tu basi. Hii husaidia kusafisha ule oil unao bakia pia kwenye fluid injection huweka kila baada ya miezi 6(mwaka mara 2) tu. Na wakati naweka hio fluid injection hujaza mpaka half tank ndio naweka na kumalizia mpaka full tank. Lakini kila mmoja na ujuzi wake na anavyo fanya juu ya Gari yake
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa nlivyokuelewa Kaka ukiweka Oil flush kila baada ya 100K+ Miles ni Kama unaweka Oil flush kila unapomwaga oil sio? Asante umeniongezea kitu hapo kwenye Fluid injection kumbe sio Lazima kuweka kila unapoweka MafutaKwa ninavyofanya mie kwenye gari zangu ikifika zaidi ya 100K+ miles hapo huweka oil flush mara hio moja tu basi. Hii husaidia kusafisha ule oil unao bakia pia kwenye fluid injection huweka kila baada ya miezi 6(mwaka mara 2) tu. Na wakati naweka hio fluid injection hujaza mpaka half tank ndio naweka na kumalizia mpaka full tank. Lakini kila mmoja na ujuzi wake na anavyo fanya juu ya Gari yake
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa nlivyokuelewa Kaka ukiweka Oil flush kila baada ya 100K+ Miles ni Kama unaweka Oil flush kila unapomwaga oil sio? Asante umeniongezea kitu hapo kwenye Fluid injection kumbe sio Lazima kuweka kila unapoweka Mafuta
Aah, nmekusoma Kaka. Asante sanaHapana ikifika miles laki na kitu ndio hufanya hivyo kawaida mimi hubadilisha oil(synthetic oil)kila 5,000 mile(elfu tano miles). Kwahio mfano nanunua gari ina 2,000 mile baada ya miaka 4 au 5 ndio inaweza kufika hio laki na kitu inategemea na safari zangu na hio gari. Mfano Gari ya wife ina miaka 3 sasa sijaifanyia mpaka sasahivi, kwasababu uendeahaji wake sio wa safari ndefu.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]