Engine oil ipi nzuri?

Kwa sehemu zetu za tropic hiyo oil haina madhara
Namba za mwanzo 20w humaanisha viscosity ya oil na namba za mwisho 50w humaanisha viscosity ya oil ikiwa wa moto
Kwa maana hiyo tofauti Kati ya sae 20w 30 na sae 20w 50 ni vicsocity ya oil ikiwa ya moto.when cold oil hizi zinafanana utendaji.
50w oil kwa joto la dar city centre with AC on,ni kama bonus kwa engine
 
Nimekupa vizuri sna mkuu
 

Kweli kabisa, mafundi wengi hawana ujuzi wa oil gani inatakiwa kwa gari gani. Mimi kawaida huwa oil huwa nanunua mwenyewe(na filter) ndio nampelekea fundi akafanye service! Mambo ya kumuachia gari kwamba nitalipitia au ataniletea, hapana!
 
Ninavyo jua hiyo inatumia 5w20 synthetic oil ( ihope engine yake ni zaidi ya cc 2000)
kwa engine below cc 2000; tumia 5w30 au 5w40 Synthetic
Kwa huku kwetu naona Oil za total zina matokeo mazuri

Oil za total nimeona dar kuna mchezo unafanyika kwenye magereji, wanaikota madumu ya lita 5 na wanaenda kujaza tena
 
Oil za total nimeona dar kuna mchezo unafanyika kwenye magereji, wanaikota madumu ya lita 5 na wanaenda kujaza tena
Unatakiwa uende kununua mwenyewe kwenye petrol station za total oil na filter unazohitaji.Usiende kuzikutia Garage.
 
Thanks again
 
Duuuh huu mchezo nahisi nimefanyiwa pale kamata @ The Wheel, gari inachelewa kuchanganya halafu ukiachia mafuta ndio inaongeza speed. Nliagiziwa na mtu nipeleke gari wafanye service ni Kluger asee kuja kuichukua haichanganyi kabisa..
 
Hapo ukut kawekewa oil ya manual wakati gari ni auto
 
kama gari yako ni hizi za kizalendo (ndogo) weka 5w40 kutoka Total - hiyo ni synthetic
unatemebea kms 5000 hivi; pamoja na kuwa wao wameandika kuwa unaweza kutembea hadi kms9000
No iliyoandikwa kwenye oil zote za total sio km zinazotakiwa kwenda bali ni jina la oil zao kibrand na namna ya kuzitofautisha kwa sababu oil zao nyingi ni quartz hivyo wakaona waongeze na no ili kutofautisha sokoni na kuondoa kero kwa wateja,

somo la oil limeshajadiliwa sana humu ndani na kwa upana wake, ushauri tu kwa watu wenye magari yao ambayo yametengenezwa kuanzia 2000 kuja huku juu na hayajafikia kutembea km 150,000 au kwa lugha nyepesi yana km chini ya 150,000 unashauriwa utumie synthetic oil zenye viscosity zifuatazo 5w30, 10w30, 5w40, 10w40 na hizi ni kwa gari zote za petrol hasa za Asia Ila kwa gari za ulaya Kuna zinazotumia diesel ambazo zimeshauriwa kuwekwa hizo oil viscosity na mfano wake ni Benz BMW nk

lakini Kama gari yako ina above km 150,000(High mileage) unashauriwa kutumia 15w40, 20w50, 10w60 na sae40 kwa gari za petrol

na wale wanotumia magari ya diesel wanashauriwa kutumia 15w40, 20w50(magari ya turbo na yasio na turbo ) na sae 40
kwa uhitaji wa oil unayoiitaji na ushauri +255719263074
 
Thanks alot bro
 
Atapata hasara kivipi mkuu kwa kutumia oil 20W50?? wapi 20W50 imekuwa recommended kwa engine kubwa tu? Engine oil 20W50 kiuhalisia inaweza kutumika kwa gari yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…