Engine temperature gauge inoanyesha hot mudawote

Engine temperature gauge inoanyesha hot mudawote

Inaonesha HOT muda wote hata kama engine imezimwa saa 24!! Nifanyeje?
Kaangalie sensor ya hio gauge itakuwa imeguswa na wire wa ehem nyingine au umegusa sehem isiyohusika.. Wanasema inakuwa inapiga shoti
 
Pole sana. Thermocouple ama thermistor itakuwa imekufa. Hiyo ndiyo sensor ambayo hutuma mawasiliano kuonyesha engine ina jotoridi kiasi gani.
 
Au angalia eneo unako lipaki ilo gari..usipaki karibu na maeneo yenye moto..au kama ni ndani..kuna madirisha? kama yapo..kuna feni?
 
Back
Top Bottom