Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Isije kua gari ilizima kutokana na engine ku overheat... Yan pinging noise kwenye engine due overheatingHeri ya Christmas na mwaka mpya.
Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed.
Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed.
Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali.
Je, ili linaweza kusababishwa na nani. Naombeni michango yenu wazoefu.
Mnisamehe kwa mwandiko mbovu
Heri ya Christmas na mwaka mpya.

Nashukuru mkuu. Nilienda kwa fundi alikagua na kukuta engine mounting imekatika. Nilibadilisha Sasa hivi Iko poa kabisaEngine haiwezi lia sababu umepita kwenye rasta, hivyo ni vitu external kutokana na mtikisiko wa gari.
Ni hizo ma ball joint, tyrod end na vitu vinavyofanana na hivyo huko kwenye matairi.
Kama unafikiei una uhakika ni engine, then angalia engine mounting zinazoshikilia engine.
Nashukuru mkuu. Nilishaenda kwa fundi alikuta ni engine mount ndo imevunjika. Kuhusu kuzima gari ilikuwa ni fuse kuloose ikawa hata switch on inapotea. Ili niliweza kuling'amua nikiwa safariniIsije kua gari ilizima kutokana na engine ku overheat... Yan pinging noise kwenye engine due overheating
Nashukuru mkuu. Nilienda kwa fundi alikagua na kukuta engine mounting imekatika. Nilibadilisha Sasa hivi Iko poa kabisa