Any Technical assistance, nbadili engine au nitafute Block? Engine yake ni bei ngap kwa wanaofahamu.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ushauri wangu nunua used engine,kwani kubadilisha block mbali ya kulinunua ,itakulazimu kununua Overhaul gasket,piston rngs,con/bend bearing, main bearing an vitu vigine vingiAny Technical assistance, nbadili engine au nitafute Block? Engine yake ni bei ngap kwa wanaofahamu.