Engine ya Nissan

Engine ya Nissan

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
kwa anayejua bei ya engine ya nissan TD27, anijuze Tafadhali,nahitaji ambayo haitumii turbo
 
Engine za Gar ya Diesel ni bei halafu Nissan zinasumbu sana hasa zinazotumia Diesel
 
tmp-cam--1872842788.jpg
tmp-cam-890654279.jpg
tmp-cam--1872842788.jpg
tmp-cam-890654279.jpg

hiyo ni non turbo rojan engine kama Tanzania unaambiwa 4 milion ipo katika ubora huo nunua South Africa Tsh 3milion haijabebwa na kodi bado hapo
 
Back
Top Bottom