Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
kwa 4m! mbona ni ghali sana!!!?Kama una M4 utapata engine saafi!
Unafunga kwenye gari gani? Ya mwaka gani?
Nataka nifunge kwenye nissan hommyUnafunga kwenye gari gani? Ya mwaka gani?
Tena hiyo nimekutajia bei nafuu. Unachezea injini ya Diesel nini?kwa 4m! mbona ni ghali sana!!!?
kwa hiyo Nissan Pathfinder,Navara, hard body za diesel zinasumbua sana? si kweliEngine za Gar ya Diesel ni bei halafu Nissan zinasumbu sana hasa zinazotumia Diesel
Bila shaka wewe ni DalaliTena hiyo nimekutajia bei nafuu. Unachezea injini ya Diesel nini?
We bajeti yako ngapi?
Ni kweli. Katafute unapopajua. Ukipata engine ya Diesel chini ya M4 basi either una bahati au nayo ni kimeo!Bila shaka wewe ni Dalali