Engine ya Pajero jr inahitajika

Engine ya Pajero jr inahitajika

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Engine used ya Pajero Jr "4A31" inahitajika.Naomba kufahamu bei na mahali inakopatikana.
Kwa faida ya wengi,unaweza kuweka namba zako kwenye wall hapa,ili wadau wengi wenye uhitaji huo nao waweze kuwasiliana na wauzaji.
 
Attachments

  • IMG-20161114-WA003.jpg
    IMG-20161114-WA003.jpg
    89.6 KB · Views: 80
Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde.
 
A
Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde.
Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom