Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 14, 2016 #1 Engine used ya Pajero Jr "4A31" inahitajika.Naomba kufahamu bei na mahali inakopatikana. Kwa faida ya wengi,unaweza kuweka namba zako kwenye wall hapa,ili wadau wengi wenye uhitaji huo nao waweze kuwasiliana na wauzaji. Attachments IMG-20161114-WA003.jpg 89.6 KB · Views: 80
Engine used ya Pajero Jr "4A31" inahitajika.Naomba kufahamu bei na mahali inakopatikana. Kwa faida ya wengi,unaweza kuweka namba zako kwenye wall hapa,ili wadau wengi wenye uhitaji huo nao waweze kuwasiliana na wauzaji.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Nov 18, 2016 #2 Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde.
Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 18, 2016 Thread starter #3 A hekimatele said: Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde. Click to expand... Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi
A hekimatele said: Nenda Kariakoo mtaa wa Lindi ndo wanakouza spare nyingi sana hususan engine za magari. Ukiikosa jamaa wanaagiza Dubai. Lazima upate pale usikonde. Click to expand... Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi