Engine ya peugeot 504 sr na gear box

Engine ya peugeot 504 sr na gear box

Man-ndingo

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
14
Reaction score
34
IMG_3043.jpg

Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya peugeot 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi

Chombo ya mangi imelala inshitaji kuamshwa
Asante sana.
IMG_3046.jpg

IMG_3280.jpg
 
Ingekua mimi ndio wewe, ningeifanyia modifications moja matata sana hiyo chuma kwa kuweka Ingine ya Nissan SR20DET ambayo ni familia ya SR engine kutoka Nissan. Ni injini maarufu ya silinda nne inayotumika kwenye Nissan Silvia na 180SX, na pia katika Pulsar GTI-R, Nissan NX Coupe na Nissan Bluebird.
 
inaweza fit kwenye huo mkangazi?
 
Ingekua mimi ndio wewe, ningeifanyia modifications moja matata sana hiyo chuma kwa kuweka Ingine ya Nissan SR20DET ambayo ni familia ya SR engine kutoka Nissan. Ni injini maarufu ya silinda nne inayotumika kwenye Nissan Silvia na 180SX, na pia katika Pulsar GTI-R, Nissan NX Coupe na Nissan Bluebird.

Hiyo engine ina gharimu pesa ngapi maana spear za nissan ni genuine
sema ni very expensive
 
View attachment 1848397
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya peugeot 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi

Chombo ya mangi imelala inshitaji kuamshwa
Asante sana.
View attachment 1848398

View attachment 1848394
Dah hii mashine(jeans)ilikuwa balaa mpk kwenye racing ishashiriki sana nakumbuka the first model was 504 GL with a 200km/h top speed,ikafuata GR 180km/h na SR lilikuwa toleo la mwisho pia 180km/h hapo sikuwaelewa kwanini toleo la kwanza lilikuwa 200km/h.
 
Ndio gari yangu ya kwanza kununua hiyo mwaka 2000 na kuileta bongo ilikua manual naiheshimu mno mno hiyo gari...Engine zake scrap za JHB zitakuwepo ila sasa hivi kushaharibika
 
Back
Top Bottom