Man-ndingo
Member
- May 16, 2021
- 14
- 34
Ingekua mimi ndio wewe, ningeifanyia modifications moja matata sana hiyo chuma kwa kuweka Ingine ya Nissan SR20DET ambayo ni familia ya SR engine kutoka Nissan. Ni injini maarufu ya silinda nne inayotumika kwenye Nissan Silvia na 180SX, na pia katika Pulsar GTI-R, Nissan NX Coupe na Nissan Bluebird.
Yes chief, inakaa vizuri bila shakainaweza fit kwenye huo mkangazi?
Ingekua mimi ndio wewe, ningeifanyia modifications moja matata sana hiyo chuma kwa kuweka Ingine ya Nissan SR20DET ambayo ni familia ya SR engine kutoka Nissan. Ni injini maarufu ya silinda nne inayotumika kwenye Nissan Silvia na 180SX, na pia katika Pulsar GTI-R, Nissan NX Coupe na Nissan Bluebird.
Dah hii mashine(jeans)ilikuwa balaa mpk kwenye racing ishashiriki sana nakumbuka the first model was 504 GL with a 200km/h top speed,ikafuata GR 180km/h na SR lilikuwa toleo la mwisho pia 180km/h hapo sikuwaelewa kwanini toleo la kwanza lilikuwa 200km/h.View attachment 1848397
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya peugeot 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi
Chombo ya mangi imelala inshitaji kuamshwa
Asante sana.
View attachment 1848398
View attachment 1848394
...Mie pia mkuu, mnyama wangu wa kwanza kummiliki huyo (guruwe). Kama ulivyosema, ilikuwa gari haswaaaNdio gari yangu ya kwanza kununua hiyo mwaka 2000 na kuileta bongo ilikua manual naiheshimu mno mno hiyo gari...Engine zake scrap za JHB zitakuwepo ila sasa hivi kushaharibika