Engineer Alexandre Gustave Eiffel poses high on top of the completed Eiffel Tower in 1889.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Engineer Alexandre Gustave Eiffel poses high on top of the completed Eiffel Tower in 1889. (Eiffel is the guy in the top hat at the bottom of the stairs).
 
Watu waliandamana kupinga ujenzi wa Eiffel Tower mpaka walipohakikishiwa kuwa Tower ilijengwa kwa maonesho tu na baada ya hapo itabomolewa.

Kwa ubora wake na sifa Ufaransa ilipata kwa kuwa na Eiffel Tower, wananchi waliandamana tena kupinga isibomolewe.
 
Kuna Majengo Mengi Wanatumia Hizo Hadi Kesho
Baada ya hii project alipata kazi nyingi, mojawapo ni kubuni daraja Manila na Liberty Statue New York.
 
Mwanzoni niliogopa sana kupanda jengo kwa kutumia hizi ngazi nilikuwa nadhani nitadondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…