Engineer Hersi akili na personality yake hastahili kuwepo kwenye football ya Tanzania

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Jana nimemsikiliza kwa makini Hersi akitoa speech pale Ikulu, sikutamani kabisa amalize, very composure and calm.

Huyu jamaa ni big brain, ana kipawa cha uongozi, mama ampe kitengo aisaidie nchi, hadhi yake ni kubwa kuliko kukaa na vilaza huku kwenye mpira wetu unaoendeshwa kihuni huni!

 
Wadanganyika at their best
 
popote mama atapoweka atapiga kazi, hichi ni kipaji, ananikumbusha mzee wetu mwl. Nyerere, what a speech!
Kuna sehemu inaendeshwa kihuni zaidi ya huko unapotaka aende? Labda tu umeamua kujitoa fahamu

Bora hata huko kwenye mpira kuna uamuzi anaweza fanya yeye kama yeye kuliko huko kweye teuzi ambapo kazi yake kubwa itakua ni kumsifia boss wake na kugombana na wanasiasa
 
Ukiondoa maadui watatu aliowasema hayati Nyerere, watanzania tunasumbuliwa na

1.Chuki

2.Wivu

3.Umaskini

Comments za wadau zinajieleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…