Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.

Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.

Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.

Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia
 
Ni Kweli kabisa na wenye Akili kubwa na Timamu watakuelewa

Engineer Hersi ameleta Mageuzi na Mabadiliko chanya kwenye soka ambayo hayajawahi kuwepo kwa miaka mingi sana

Sio tu kwa hapa Tanzania bali mpaka Afrika Mashariki na kati na amekuwa Tishio kwenye klabu zote kubwa Afrika

Sasa Yanga imekuwa ni Timu ya kupiga timu ndogo ndogo magoli matano na timu kubwa magoli machache

Mungu amtunze huyu Mhandisi Fundi.
 
Tukiacha Usimba na Uyanga injinia Hersi ndio mtu sahihi kuongoza Soka letu i mean Rais wa TFF mwamba anaifahamu leadership nikikumbuka kuna chezaji na genge lake flan walisema mpaka Injinia aondoke Yanga eti ndo atarudi naishia kucheka[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tofauti ni, mmoja anatumia pesa za tapelina mwingine anatumia pesa za mafisadi na maharamia.

Kukiwa na magufulification,mmoja anapotea, kukiwa na uchawalization, mmoja anang'ara!

Wakwepa kodi wakiminywa, timu inaminyika!
 
Ni Kweli kabisa na wenye Akili kubwa na Timamu watakuelewa

Engineer Hersi ameleta Mageuzi na Mabadiliko chanya kwenye soka ambayo hayajawahi kuwepo kwa miaka mingi san...
Changamoto wanayopata wapinzani ni Ile kujua kuwa yanga ya mwakani itakuwa Kali kuliko hii yani ni hatua Moja mbele Kila siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah yule jamaa hivi alikuwa anawaza Nini!? anyway ni kweli ila pale tff asiende kwanza hadi tuchukue back to back Cafcl
 
Tofauti ni, mmoja anatumia pesa za tapelina mwingine anatumia pesa za mafisadi na maharamia.

Kukiwa na magufulification,mmoja anapotea, kukiwa na uchawalization, mmoja anang'ara!

Wakwepa kodi wakiminywa, timu inaminyika!
Mengine siyawazi sana nachojua jamaa ana malengo makubwa sana na mpira wa yanga na ni kweli yanga itaimbwa Afrika
 
Tatizo la Simba ni Mo Dewji na kujaza machawa kama vibarua. Yanga inasaidiwa sana na boss wake kuwa makini tofauti na Simba wa kwao ana uswahili mwingi.

Hata umtoe Hersi pale umpeleke Simba, atafeli. Ingawa pale Simba kuna tiamaji ila wanafanya kazi ya Mo, so tunarudi palepale tatizo ni Mo
 
Sasa Mo ndie muweka hela na mashabiki wa Simba kwa Sasa hawamtaki yeyote iwe try Mangungu Mo wote hawatakiwi
Kufungwa ni kawaida pigeni moyo konde
 
Tofauti ni, mmoja anatumia pesa za tapelina mwingine anatumia pesa za mafisadi na maharamia.

Kukiwa na magufulification,mmoja anapotea, kukiwa na uchawalization, mmoja anang'ara!

Wakwepa kodi wakiminywa, timu inaminyika!
Pesa ni pesa tu namna ya kupanga matumizi ndiyo hapo sasa panahitaji kutuliza fuvu
 
Sasa Mo ndie muweka hela na mashabiki wa Simba kwa Sasa hawamtaki yeyote iwe try Mangungu Mo wote hawatakiwi
Kufungwa ni kawaida pigeni moyo konde
Sio kila anayejadili mpira ni shabiki. Hapa nimezungumza kibiashara na kitaasisi wala sio kimichezo. Ingekuwa mambo ya kupiga chenga nisingejadili lolote sijui kitu.
 
Kila mtu ana njia sahihi kipawa ambacho MUNGU amempa au amemjalia...kwa sasa Yanga tuna kiongozi ambae ni dira na kioo kizuri katika mambo mengi tu ndani na nje ya uwanja

Hivyo viongozi wengine wasijicompare na yeye ....bali waige yale yaliyo mazuri tu na kuyatilia maanani.
 
Huyo mafi ya kuku atishie Yanga, umbwa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…