Hahaha hapana watampa Jimbo Kisha waziri wa michezo ambapo ataendelea na kofia zote mbili yani Rais wa yanga na waziri wa michezo kwa nchi bado hadi Samia amalize mihula yake 2035Jamaa yupo vizuri sana[emoji120][emoji91]tumpe nchii kabisa 2025. Tutafika mbali Tz!! Jamaa yupo serious amenyooka ni hazina kwa Taifa awekewe ulinzi.
Hapo umepasua, Eng. anaharibu timu yangu ya Simba! Yupo serious na sokaNdani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.
Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.
Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.
Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia
Jamaa anampa task nzito sana kajuna kwa Sasa yuko SA anavunga anasajili kule kumbe usajili halisi unafanyika Asec Kuna striker Yao inatua Jangwani ikiwafata jamaa zake ambao Sasa ni regular kwenye first 11Hapo umepasua, Eng. anaharibu timu yangu ya Simba! Yupo serious na soka
Watu kama hao hawapewagi nafasi barani Africa ni baahati kuwepo hapo. Africa inapenda machawa chawa hivi, walaji walaji sio watu wenye maono.Tukiacha Usimba na Uyanga injinia Hersi ndio mtu sahihi kuongoza Soka letu i mean Rais wa TFF mwamba anaifahamu leadership nikikumbuka kuna chezaji na genge lake flan walisema mpaka Injinia aondoke Yanga eti ndo atarudi naishia kucheka[emoji1][emoji1][emoji1]
Mganga gani brother watu wanasafiri Kila pande ya Afrika ili kuiboresha team we unaongelea mganga!Mbona umemsahau yule MGANGA[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Dangote mara kadhaa amekataa kujihusisha na siasa ila angetaka anakuwa Rais asubuhi kumbuka hata rais wa Sasa wa Nigeria ni tajiri sana tena billionaireWatu kama hao hawapewagi nafasi barani Africa ni baahati kuwepo hapo. Africa inapenda machawa chawa hivi, walaji walaji sio watu wenye maono.
Nikuhamishe kwenye mada. Hivi Dangote si ndioo alifaa awe raisi wa nchi ya Nigeria jwa mambo anayoyadanya kakini anaweza kupewa nafasi na chama, ni hapana! Vyama vya watu wa Africa havipendi watu wenye maono.
TINUBU ni kibaraka na inasemekana alikuwa na genge la wahalifu USA drugs cartel.Dangote mara kadhaa amekataa kujihusisha na siasa ila angetaka anakuwa Rais asubuhi kumbuka hata rais wa Sasa wa Nigeria ni tajiri sana tena billionaire
Ukija kwa upande wa soccer la tff yes kama Hersi ataendelea hivi kwa miaka 7 mengine basi atakuwa amejenga mazingira mazuri ya sio TU kuwa rais wa tff Bali waziri kabisa wa michezo
Ila kwa Sasa Yanga ni imara tena imara sana kumbuka chini ya uongozi huu yanga ni finalist wa cafcc na Sasa kaingia group stage baada ya miaka mingi kupita kashinda treble mara mbili mfululizo kampiga mtani goli 5 tena kwenye mzunguko wa ligi (kitu adhimu sana hiki) wote wakiwa wanawania usukani wa kuongoza ligiKwa Sisi tunaoujua Mpira WA Simba na Yanga tunasema ni upepo tu kwa sasa Ila mda ukifika ukabadili uelekeo huo upepo basi kuna Sehemu nyingi tutaziona na madhaifu ya Yanga yataonekana.
Huyo mtoto wa Miyomboni Singida hamna kitu ni tapeli tuHana lawama kama "muunda kamati"mwamedi vinjuka
Brother tuna kiongozi afrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara asiye kibaraka!?TINUBU ni kibaraka na inasemekana alikuwa na genge la wahalifu USA drugs cartel.
TINUBU ni kibaraka wa wazungu, mali zake zipo ulaya akizingua wanafunga mirija ndio maana hakohoi kwa wazungu.
Amewapa wazungu bomba la gesi wakati Africa tunamahitaji ya gesi kuliko hata hao wazungu.
TINUBU ni kichaa na wanaijeria hawantaki alipita kimagumashi kwa msaada wa America.
jumapili akina azizi ki Walsingham uwanjani saa 9 wakaanza kuzunguka zunguka kwenye magoli.unajua walikuwa wanafanya nini?.zile 5 mganga Ana zake 4Mganga gani brother watu wanasafiri Kila pande ya Afrika ili kuiboresha team we unaongelea mganga!
Acheni hizo Wanasimba
[emoji23][emoji23]we jamaa wale walikuwa wanaangalia uwanja kuona kama unachezeka Sasa kutoka na marekebisho yaliyofanyika ndio wakagundua hapa mbona mwake ndio kusema walete katijumapili akina azizi ki Walsingham uwanjani saa 9 wakaanza kuzunguka zunguka kwenye magoli.unajua walikuwa wanafanya nini?.zile 5 mganga Ana zake 4
Ndio shida inapoanzia wale kwa Sasa wanapaswa kucheza na wajukuu na kudai Kodi ya frame zao uongozi unapaswa kuwa wa 35-50 mwishoTimu inaongozwa na wazee unategemea nini? Hakuna damu changa pale, hizo B3 iliyotumika kwenye usajili simba sngepewa Hersi ungeona value for money
Sisi watu wazima.hainq haja ya kudanganyana.MAAGANO YALE[emoji23][emoji23]we jamaa wale walikuwa wanaangalia uwanja kuona kama unachezeka Sasa kutoka na marekebisho yaliyofanyika ndio wakagundua hapa mbona mwake ndio kusema walete kati
Hapakuwa na uchawi Wala uganga