Engineer Hersi hamjui Rais wa Kenya?

Engineer Hersi hamjui Rais wa Kenya?

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887

Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango yao ya pre-season..
 
Watu waongo waongo ndio walivyo. Umealikwa na Rais, tena wa nchi jirani tu hapo halafu haumjui unaishia kumtaja hasimu wake.

Kwanza tangu lini Ulaya ikawa nchi?
Tatizo hua hamsikilizi mnakibilia Ku comment kwanza hajamtaja Raila kama Rais wa Kenya amesema na amesema wamepokea mialiko nchi tatu moja ni ulaya sasa hapo kasema ulaya ni nchi alafu wewe mbugira unamzidi uelewa Hersi?
 
Hivi umemsikiliza au unaongea kwa mawazo yako? Sio lazima kuonesha kwa watu kuwa ni jinsi gani ulivyo mze.mbe wa kutumia akili. Hakuna mahali alipotamka kuwa wamepewa mwaliko na raisi wa Kenya. Wewe na mleta uzi mnapotosha watu, Raila odinga ndiye anayeratibu mechi ya kirafiki kati ya Gormahia dhidi ya Yanga kwaajili ya uzinduzi wa uwanja wao uliopo Kisumu.

IMG_20240610_120455.jpg
 
View attachment 3013610
Ndio maana timu imeuzwa sababu ya majitu kama haya hawataki kusikiliza kazi ni kusema ndiooo kama wabunge wa CCM
 
Tatizo hua hamsikilizi mnakibilia Ku comment kwanza hajamtaja Raila kama Rais wa Kenya amesema na amesema wamepokea mialiko nchi tatu moja ni ulaya sasa hapo kasema ulaya ni nchi alafu wewe mbugira unamzidi uelewa Hersi?
Kwa wewe umesikiliza vizuri kweli?
 
Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango yao ya pre-season..
Ushabiki unawafanya muwe Wapumbavu na wapotoshaji. Hersi kasema wamepata mwaliko toka Kwa Mzee wao Odinga, yeye ndo anajua Kwa nini Odinga kawaalika kufungua uwanja mpya Kwa ajili ya AFCON 2027. Wewe unayelazimisha waalikwe na Ruto ndo utueleze Kwa nini Raila asiwaalike?
 
Hivi umemsikiliza au unaongea kwa mawazo yako? Sio lazima kuonesha kwa watu kuwa ni jinsi gani ulivyo mze.mbe wa kutumia akili. Hakuna mahali alipotamka kuwa wamepewa mwaliko na raisi wa Kenya. Wewe na mleta uzi mnapotosha watu, Raila odinga ndiye anayeratibu mechi ya kirafiki kati ya Gormahia dhidi ya Yanga kwaajili ya uzinduzi wa uwanja wao uliopo Kisumu.

View attachment 3013610
Hivi hajasema "serikali ya Mzee Odinga" au alijiumauma akabadili gia angani huku baadhi ya maneno yakiwa yameshatoka? Pia haujasikia akisema nchi mojawapo ni Ulaya?

Naona kebehi za Simba kuweka pre-season nje ya nchi hatutazisikia safari hii maana kuna watu wamealikwa URAYAAA.
 
Haya kasema furahi basi, kwani kuna mtu ana nongwa na kambi zenu za nje ya nchi? Bali walichokuwa wanahoji ni kuweka kambi nje ya nchi halafu hakuna mafanikio ya hizo kambi. Wewe furahia kambi wenzako wanafurahia makombe. Vipi mmeshapata muafaka juu ya mwekezaji wenu Mo na bodi zenu za Simba? Au umekuja kukimbilia habari za Hersi badala ya kuangaika na timu yenu iache malumbano.
 
Et Engineer doesn't know the incumbent president of Kenya stupidity engineer from Utopoloni.
 
Haya kasema furahi basi, kwani kuna mtu ana nongwa na kambi zenu za nje ya nchi? Bali walichokuwa wanahoji ni kuweka kambi nje ya nchi halafu hakuna mafanikio ya hizo kambi. Wewe furahia kambi wenzako wanafurahia makombe. Vipi mmeshapata muafaka juu ya mwekezaji wenu Mo na bodi zenu za Simba? Au umekuja kukimbilia habari za Hersi badala ya kuangaika na timu yenu iache malumbano.
Nongwa mmekuwa nazo sana labda kama zitakata msimu huu. Pekua nyuzi kibao za nongwa zenu dhidi ya kambi za Simba nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom