changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jun 10, 2024 #21 SAYVILLE said: Nongwa mmekuwa nazo sana labda kama zitakata msimu huu. Pekua nyuzi kibao za nongwa zenu dhidi ya kambi za Simba nje ya nchi. Click to expand... Zikaleta faida gani hizo kambi zenu?
SAYVILLE said: Nongwa mmekuwa nazo sana labda kama zitakata msimu huu. Pekua nyuzi kibao za nongwa zenu dhidi ya kambi za Simba nje ya nchi. Click to expand... Zikaleta faida gani hizo kambi zenu?
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Jun 10, 2024 #22 changaule said: Zikaleta faida gani hizo kambi zenu? Click to expand... Tusubiri tuone maana bado tuko kwenye malumbano. Unaweza kuwa msimu mwingine mgumu kwetu
changaule said: Zikaleta faida gani hizo kambi zenu? Click to expand... Tusubiri tuone maana bado tuko kwenye malumbano. Unaweza kuwa msimu mwingine mgumu kwetu
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jun 10, 2024 #23 Its Pancho said: Yaani nguruwe wa humu mnamzidi injinia akili? Click to expand... Kwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi?
Its Pancho said: Yaani nguruwe wa humu mnamzidi injinia akili? Click to expand... Kwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jun 11, 2024 #24 Lord Delamere in Kenya said: Kwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi? Click to expand... Achana na hao Anakuzidi akili wewe na pesa mpaka dhambi
Lord Delamere in Kenya said: Kwahiyo mwendawazimu akiwa na hela tayari anakuwa ana akili? Mbona kuna mbwa Ulaya wana pesa kumzidi engineer Hersi, tuseme wana akili kumzidi Hersi? Click to expand... Achana na hao Anakuzidi akili wewe na pesa mpaka dhambi
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jun 11, 2024 #25 Its Pancho said: Achana na hao Anakuzidi akili wewe na pesa mpaka dhambi Click to expand... Sawa mke wa Eng.Hersi.
Its Pancho said: Achana na hao Anakuzidi akili wewe na pesa mpaka dhambi Click to expand... Sawa mke wa Eng.Hersi.