mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
Tunaitana utopolo,nyani,mbumbubu sijui Nini..ila kimsingi Wote Ni Walewale!Few will understand you
Huyu mzee alisaidia nini timu mda huo. Sawa yapo lakini kwa sasa hawakuwa na msaada kabisa. Awekwe pahala anapo stahili na Mola wake.Tunakukumbuka mzee Akilimali, umeondoka sasa hivi tumevamiwaView attachment 1551379
Mkuu hata huelewi huyu Mzee alikuwa na maono Ila ndo hivo alizidiwa na ujinga na Wajinga!Huyu mzee alisaidia nini timu mda huo. Sawa yapo lakini kwa sasa hawakuwa na msaada kabisa. Awekwe pahala anapo stahili na Mola wake.
Well said.Tunaitana utopolo,nyani,mbumbubu sijui Nini..ila kimsingi Wote Ni Walewale!
Jibu gani unataka mkuu...huyu Ni mjanja wa mjini anayejua kucheza na fursa kwa wakati....Kama unataka kumuajiri hapo mtafute akupe CV yake!Sijajibiwa jibu hata moja naona mnyukano umekuwa mkubwa
Unataka umuozeshe dada yako?Habari za saizi aise,
Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie
1. kazaliwa wapi na lini?
2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?
3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?
4. Anacheo gani yanga?
5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?
6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
Huyo muangola alikuwa na mkataba, Tusyenge mnayetaka kusajili alikuwa na mkataba na yule mchezaji mmoja mliyechukua toka kongo ana mkataba na yule mburkinafaso mnayekesha airport ana mkataba ndio maana mliambiwa hamjui mpira mko kama manyani kazi kubweka kama mbwa uneducatedJeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Msomali huyo. Yupo Tanzania kuchuma vya wajinga tu.
Mbona unafoka sana mkuuHuyo muangola alikuwa na mkataba, Tusyenge mnayetaka kusajili alikuwa na mkataba na yule mchezaji mmoja mliyechukua toka kongo ana mkataba na yule mburkinafaso mnayekesha airport ana mkataba ndio maana mliambiwa hamjui mpira mko kama manyani kazi kubweka kama mbwa uneducated
Nafoka kama nyani au nabweka kama mbwa kufoka ndio zenu utopoloMbona unafoka sana mkuu
Kwa kifupi hizi timu zinafanana tu.
Kweli mkuuWote simba na yanga janja janja tu..
Usajili wa simba hata hatua ya makundi CAF kufika ni ndoto;
Angalia sajili za AS VITA mdo utaelewa hapa twasajili kwa ajili ya kucheza na gwambina na prison