"Engineer" huyu kiboko...,

huyu ni wa mfano wa kuigwa
 
Naona kama ngazi hazina continuity vile. Ukifika kwenye maungio ndo umekwama hivyo!!!! Well najaribu kuona ikiwa picha hii inaonekana hivi kutokana na angle ya camera.
 
kazi kwelikweli. sasa hapo mtu atafikaje anakoenda huko juu?
 
Scholarship za China hizo zafanya kazi
 
Naona kama ngazi hazina continuity vile. Ukifika kwenye maungio ndo umekwama hivyo!!!! Well najaribu kuona ikiwa picha hii inaonekana hivi kutokana na angle ya camera.

hAKUNA CHA ENGO YA CAMERA HAPO KAKA, Ngoma imegongeshwa!
 
jamani mpaka alete mkoloni tu ?

huyu kaamua kuja na design mpya na nutaona wazungu wakiiga
 
Wengi wakuwajibika hapo..kuanzia mtoa kibali,msanifu wa jengo,msimamizi wa ujenzi,mkaguzi/mshauri na mjenzi mwenyewe!!
ERB wapo wp?
 
Labda jengo hilo ni kwa ajili ya Tom & Jerry! Good goofing!
 
Nadhani that's an art work na ngazi zenyewe ziko ndani ya nyumba! If so, itakuwa ni very nice attraction.
 
Duh haya bwana huyu siyo engineer kwa hakika

Niliangalia haraka haraka...........sikuona tatizo, nikarudia tena............aiseeeh! huyu jamaa unampiga kavukavu, tena hakuna kuamuliwa1 daaah!:redfaces:
 
jamani mpaka alete mkoloni tu ?

huyu kaamua kuja na design mpya na nutaona wazungu wakiiga

We vp! hata uzito wa ngazi za juu amekosea ku balance, haulali kwenye kitako cha maungio! hivi ni makusudi au mkomoeni!???:embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…