Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
We vp! hata uzito wa ngazi za juu amekosea ku balance, haulali kwenye kitako cha maungio! hivi ni makusudi au mkomoeni!???:embarrassed:
We vp! hata uzito wa ngazi za juu amekosea ku balance, haulali kwenye kitako cha maungio! hivi ni makusudi au mkomoeni!???:embarrassed:
Ni kweli hujui anahusikaje au unazuga?Engineer anahusikaje hapo??????????
Tunaungaunga kimtindo!
Mtu hawezi kuidhalilisha fani kienyeji namna hii; huyu atakuwa 'KIHIYO'
Scholarship za China hizo zafanya kazi