Huyu jamaa aliyedizaini na aliyejenga nashawishika kusema hata elimu ya sekondari ambayo ingewasaidi kwenye swala zima la rizoning hawajapitia.Ni std 7 failures.
Nadhani anatekeleza matakwa ya Mheshimiwa mmoja wa bunge lilopita, aliyelalamika kuwa sasa hivi wahandisi wanajenga majengo mfano wa viberiti ambayo hayana urembo.
Design of staircase is not as simple as people think. Lakini huenda kwenye Engineering drawings ipo sahihi kabisa aliyekosea ni site foreman anbaye huenda si mzoefu, ila alitakiwa kumuona consultant(Engineer) aliye design jengo. Kwa kuwa bongo kila mtu anajifanya ni mjuaji huenda mwenye jengo aliona kumtumia Engineer ni gharama na kumwachia kazi fundi mchundo afanyefanye na ndivyo hivi sasa. Mnakumbuka yale maghorofa yanayoangukaanguka Dar?.
Mimi siamini kabisa kuwa hii ni kazi ya Engineer aliyekaa darasani na kukwepa mishare yote ya mitihani migumu. Hii ni kazi ya wababaishaji wanaopenda mteremko bila kujua gharama halisi za miteremko hiyo.
"Everyone can build and design a structure but an engineer can do that with half a costand high precision" - Ultimate design technology. Jamani tutumie wahandisi wamejaa sana mitaani siku hizi mambo ya kukwepa gharama yana madhara makubwa sana. Muhandisi wa majengo ni kama Medical Doctor, kosa moja dogo linaweza sababisha maafa makubwa. Sasa kama staircase imekosewa what about reinforcement steels kwenye slab ya hiyo ghorofa?
Dah hii kali jamani sasa anayetoka chini anapitaje hapo? Na anayetoka juu anapitaje hapo? Dah kazi ipo . Ndo wahandisi wa kibongo wakinyimwa zabuni wanalalamika watu wa nje ndo wanaopewa zabuni. Sasa hiyo nini sasa dah
Pamoja na kuwa ngazi hazina continuity, lakini pia hizo ngazi hazina support sijui mtu akiwa anapanda juu atajisupport wapi??? Kama sio utundu wa computer hapo , basi ni hatari kuwa na fundi mjenzi kama huyu!!!:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth: