Engineer S. Manyanya:Wagoma kuuza mafuta kuhujumu maoni ya katiba

Engineer S. Manyanya:Wagoma kuuza mafuta kuhujumu maoni ya katiba

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
''wamilikiwa vituo vya mafuta sumbawanga , wamegoma kuhuza mafuta ili kuhujumu wananchi waichukie serikali yao ''

unahujumu zoezi zima la mitihani ya kidato cha nne wakati wa usambazaji wa mitihani ; kwani ni vigumu kupata usafiri kwa wanafunzi ''Engineer stella manyanya''

mpaka sasa wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta , hali ni mbaya
 
Ijulikane chanzo cha wao kugoma ni nini.
 
Huyu mama kuna wakati alikuwa anaitwa mpambanaji wa UFISADI, hebu tuone anavyopambana na huo ufisadi wa kuficha mafuta. RC analalamika, mwananchi analalamika je nani amsaidie mwenzie sasa??
 
Huyu mama kuna wakati alikuwa anaitwa mpambanaji wa UFISADI, hebu tuone anavyopambana na huo ufisadi wa kuficha mafuta. RC analalamika, mwananchi analalamika je nani amsaidie mwenzie sasa??
Ni nchi ya ulalamishi hii, baba analalama, mama analalamika na watoto wanalalamika. Sijui tunaelekea wapi?
 
Mkuu wa mkoa toa mafuta yako ya akiba kuliko kulalamika
 
Hivi mkuu wa Mkoa si ndiyo rais wa Mkoa, sasa kwanini asiwaite wauza mafuta wote na kuwapa kalama na karatasi waandike kwanini wamegoma kuuza mafuta? then awachukulie hatua za kisheria?
 
Haya ndio matatizo yanayokuja kwa kuteua watu kuongoza pasipokuwa na uwezo wa kufanya hivyo; kama anashindwa kuwakabili wauza mafuta ataweza kuongoza mkoa kweli?
 
Back
Top Bottom