Ni nchi ya ulalamishi hii, baba analalama, mama analalamika na watoto wanalalamika. Sijui tunaelekea wapi?Huyu mama kuna wakati alikuwa anaitwa mpambanaji wa UFISADI, hebu tuone anavyopambana na huo ufisadi wa kuficha mafuta. RC analalamika, mwananchi analalamika je nani amsaidie mwenzie sasa??