Engineering Geology Vs Agricultural Engineering

Engineering Geology Vs Agricultural Engineering

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Kozi zote ni nzuri - soma uipendayo na kuiweza zaidi.
 
mkuu course zote mbili ni nzuri mimi nasoma agricultural engineering ni course nzuri sana ila hata geology ni nzuri sana hivyo soma kile unachopenda mkuuu!!
 
mkuu course zote mbili ni nzuri mimi nasoma agricultural engineering ni course nzuri sana ila hata geology ni nzuri sana hivyo soma kile unachopenda mkuuu!!

asante mkuu. Ila naomba kuuliza, vp loan possibility ni kubwa au ni kama kozi zingine tu?
 
asante mkuu. Ila naomba kuuliza, vp loan possibility ni kubwa au ni kama kozi zingine tu?

mkuu loans kwa agricultural engineering unapata bila shaka my be unaweza Kuwa unalipa110000 maximum au unaweza uailipe kabisa mimi nalipa hiyo figure ni do go sana mkuu , kwa mwaka ila ukiomba irrigation engineering and water resources mkopo unapiga 100% a ila coz ni nzuri sana kwani irrigation engineering iko within agricultural engineering
mkuu karibu Sua college of agricultural engineering
 
Mwambie bhn aje SUA apige IWRE akutane na watata kama akina Mulengera Mpanduji Dr salim Baanda na wengine kibao
 
Back
Top Bottom