ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwa kweli sisi wanafunzi tuliosoma engineering, tunaiomba serikali itupe ajira ya ualimu katika masomo ya science, maana tunazidi kuleta umasikini huku mtaani hamna kazi. Industry ni ndogo na imekuwa occupied,. Kuna zaidi ya 5000 jobless engineers, including mechanical, electrical, telecom, computer, industrial, chemical, mining, mineral etc. Serikali inapoteza pesa nying kutusomesha