Engineering is a failure in Tanzania

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwa kweli sisi wanafunzi tuliosoma engineering, tunaiomba serikali itupe ajira ya ualimu katika masomo ya science, maana tunazidi kuleta umasikini huku mtaani hamna kazi. Industry ni ndogo na imekuwa occupied,. Kuna zaidi ya 5000 jobless engineers, including mechanical, electrical, telecom, computer, industrial, chemical, mining, mineral etc. Serikali inapoteza pesa nying kutusomesha
 
wanasema mjiajiri ilhali wao wenyewe wamekimbilia kuajiriwa na serikali hhawawezi kutupa mfano hai.
 
Kwan wew umesoma nin...na wap..na ulikua na gpa ngap!? Au unatania watu hapa!?
 
Jamani mbona mimi ni engineer sijakaa sana mtaani na nimemaliza mwaka jana tu. Nimeshabadilisha kazi mara 2
 
Jamani mbona mimi ni engineer sijakaa sana mtaani na nimemaliza mwaka jana tu. Nimeshabadilisha kazi mara 2

Kuna watu wanamwaga chakula, wakati jirani zao wengi hawana hata andazi la kuzugia.
 

Mh!
takwimu za hao wahandisi 5000 wasio na kazi umezitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…