Engineers: Vipi kuhusu mashine ya kusonga ugali

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,951
Sijui kama ipo tayari tujuzane ila mimi naona inahitajika baada ya kupata usumbufu wa kutosha. Ipo mashine ya chapati, maandazi, mikate, kukanda unga nk. Kama ipo ningependa kujua inapatikana wapi.
 
Mabeberu hawali Ugali hili ndio tatizo lkn wangesha design
Hata hivyo wanakwama sana, wameshalowea sana huku kwetu na wanatuona kila siku tunakula ugali, walitakiwa wadesign watuuzie wapige pesa.

Labda pia washaridhika na mbinu zingine za kutupiga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…