Jaman ee hv ukitaka kusomea engnerng ya petroleum ni miaka mingapi? na kutoka adv nisome combi gan? na je mtu mwenye diplom anaweza kuajiriwa? naomben msahada wenu wanandugu
Jaman ee hv ukitaka kusomea engnerng ya petroleum ni miaka mingapi? na kutoka adv nisome combi gan? na je mtu mwenye diplom anaweza kuajiriwa? naomben msahada wenu wanandugu
Mkuu hujaeleweka umeulizia petroleum engineering au petroleum geology??
Kwa petroleum engineering ni miaka minne uwe na PCM/PGM,petroleum geology ni miaka mi3 PCM/PGM/CBG unaweza soma ila uwe na matokeo mazuri ya form six kwan kwasasa zina ushindan mkubwa kila mtu anataka kusoma