Stones alikuwa mtamu sanaShukran hapa umenipata mahaba yangu kwa ulaya yapo hapa jana wale jamaa wamechomoa jioni yule fullback wa kushoto hakuwa mtamu baada ya kutoka Danny rose stone jana kapiga mpira mkubwa sana wanakuja vizuri vijana
Yaah anakuja vizuri kiukweli ilikuwa mechi nzuri pande zote na kuhusu England damu changa inanipa matumaini ya kufika mbali.Stones alikuwa mtamu sana
Tupo wengine ndio mahaba yetu yapo hapa wala usiwe na shaka kuhusu timu yetu juzi nimeona tumetumia mfumo wa kuacha mabeki watatu vijana waliumudu ni hatua nzuri. Damu changa tutafika tu.Huu uzi umekosa wachangiaji maana timu yao kama Taifa stars
Kila la heri mkuuTupo wengine ndio mahaba yetu yapo hapa wala usiwe na shaka kuhusu timu yetu juzi nimeona tumetumia mfumo wa kuacha mabeki watatu vijana waliumudu ni hatua nzuri. Damu changa tutafika tu.
Shukran kwa dua njemaKila la heri mkuu
Tikiti bovu limo shambani mwako ndio hivyo tenaTimu inapendwa hii sema haiwap mashabiki kitu roho inataka
Safi kabisaForever Three Lions [emoji636]
Defoe hazeekiUnion jack imepeperushwa vyema pana uelewano mzuri wa stone na cahill hapo kiungo dier yupo vizuri huko mbele pana mchanyato mzuri vijana wanakimbiza.
Yaah katupia bao safi maana alikwenda na wale mabeki ila kwa uzoefu akarudi na kujiweka katika nafasi akafunga vijana wanaanza kuwivya tutakaa uzuri tu.Defoe hazeeki
Ndio mahaba yetu wengine ujue!Timu ya media. Sijawahi kuielewa.