Acha wishfull thinking mkuu...Ukweli ni kwamba hii team haipendwi sababu ina wachezaji wabovu na haieleweki..PeriodTimu inapendwa hii sema haiwap mashabiki kitu roho inataka
Forever Three Lions [emoji636]
Tutaikaa vizuri damu changa ni makosa madogo madogo tuHii timu haijawahi kufanya vyema, leo imefungwa tena na Ufaransa!
Pamoja sanaASANTE SANA MKUU KWA UZI
Tukutane huko kitaeleweka mbivu na mbichi.Haya sasa waingereza wamepaa kuelekea Urusi
Tupo pamoja hapaEngland damu