Walichukulia game itakua rahisi ona sasa aibu waliyoingia. Hongera sana Iceland kwa kuwadungua England 2-1.
England itabakia kuwa na ligi bora lakini timu ya taifa bomu. Na ubora wa ligi unaundwa na wachezaji wengi kutoka nnje ya UK.
Poleni mashabiki wa England.