#COVID19 England yakumbwa na mafuriko ya maambukizi ya Covid-19

#COVID19 England yakumbwa na mafuriko ya maambukizi ya Covid-19

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
United Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours.

This is the highest figure since January 15. The more infectious #Deltavariant accounts for almost every case.
 
Euro haijawaacha salama
 
Walivunjaa mageti juzi
 
United Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours.

This is the highest figure since January 15. The more infectious #Deltavariant accounts for almost every case.
Waziri wa afya amepata pia ingawa lichanjwa na hapo vipuuzi kama brazaj wanashabikia chanjo! Huwa siwaelewi wana akili zipi. Angalia Al-Jazeera wanatangaza sasa
 
Wale washenzi waliolishwa matango pori na Mwendazake bado wanaokoteza habari kupinga Chanjo. Kwanza hawana elimu kuhusu Chanjo yeyote inavyofanya kazi. Mama zao waliteseka kuwapa Chanjo wakiwa vichanga, na Shangazi zao wanapeleka binadamu zao kuchanjwa. Hizo Chanjo ni babako alitengeneza.

Sasa usipochanjwa ndio Kinga dhidi ya Korona? Au mnataka kusema korona iliondoka na Mwendazake...Narudia tena, muache upumbafu
 
H
Wamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjo
Hata Israel wamereport kuwa chanjo haifui dafu kwa variant Delta. Mungu atunusuru hapa Bongo
 
Wamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjo
Muwe mnatoa na mbadala wa chanjo.tutumie nini?. Hii kukataa chanjo halafu hamsemi tutumie nini ili kujizuia mnakua kama wapumbavu.wengine.
 
Watu wasisingizie euro,tunajua namna sheria zilivyokuwa strict kuweza kuingia uwanjani bila kuwa umechanjwa.
Kuna mawili hapa;
1. Chanjo haifanyi kazi kama walivyokuwa wanaturubuni ila wajanja wachache wanatumia hili gonjwa kama fursa kupiga hela
2. Hizi taarifa za maambukizi mapya kila mara inaweza kuwa ni propaganda nyingine ili watu wasitulie waendelee na uundwaji wa chanjo/tiba mbadala na lengo kuu liwe kupiga pesa zaidi.
 
Ndio hao hao mkuu walaa hujakosea!
Wenyewe wanadai eti kama umechanjwa harafu bado ukalikwaa gonjwa, “severity” haiwi kubwa sana na chances za Covid19 kukurestisha in peace zinapungua. Hili linahitaji research yake na mjadala tofauti.

Lakini point ya sasa ni kwamba kwanini tuendelee kupatwa na gonjwa wakati mtu kachanjwa tena jabs mbili?

Biashara hizi.
 
Back
Top Bottom