Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ndio hao hao mkuu walaa hujakosea!Hawa si ndio wana chanjo
Wamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjoLile shazi kuanzia miataani mpaka uwanjani lilikuwa sio la kitoto.Ila hawa si wamepewa chanjo.........
Euro haijawaacha salamaUnited Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours.
This is the highest figure since January 15. The more infectious #Deltavariant accounts for almost every case.
Waziri wa afya amepata pia ingawa lichanjwa na hapo vipuuzi kama brazaj wanashabikia chanjo! Huwa siwaelewi wana akili zipi. Angalia Al-Jazeera wanatangaza sasaUnited Kingdom (#UK) has reported a huge spike in daily #Covid19 infections with 51,870 covid cases in last 24 hours.
This is the highest figure since January 15. The more infectious #Deltavariant accounts for almost every case.
Hii ina ji update haiwezi kwishaHivi corona itaisha lini jamani
Huyo ni taahira ni wa kuachana nae.Waziri wa afya amepata pia ingawa lichanjwa na hapo vipuuzi kama brazaj wanashabikia chanjo! Huwa siwaelewi wana akili zipi. Angalia Al-Jazeera wanatangaza sasa
Hata Israel wamereport kuwa chanjo haifui dafu kwa variant Delta. Mungu atunusuru hapa BongoWamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjo
Muwe mnatoa na mbadala wa chanjo.tutumie nini?. Hii kukataa chanjo halafu hamsemi tutumie nini ili kujizuia mnakua kama wapumbavu.wengine.Wamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjo
Umeshikiwa bunduki kuchoma hiyo chanjo?Wamepewa chanjo na imedunda halafu kwa ujinga wetu tunataka chanjo cjui hatujifunzi kwa wenye chanjo
Wenyewe wanadai eti kama umechanjwa harafu bado ukalikwaa gonjwa, “severity” haiwi kubwa sana na chances za Covid19 kukurestisha in peace zinapungua. Hili linahitaji research yake na mjadala tofauti.Ndio hao hao mkuu walaa hujakosea!